1 Kings 11:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni alipenda sana wanawake wa kigeni: Binti Farao, wanawake wa Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni, na Wahiti;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbali na binti Farao, Mfalme Sulemani aliwapenda wanawake wengi wa kigeni: Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni na Wahiti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni alipenda sana wanawake wa kigeni: binti Farao, wanawake wa Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni, na Wahiti;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, Mfalme Solomoni akawapenda wanawake wengi wa kigeni zaidi, mbali na binti Farao: wanawake wa Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni na Wahiti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wa kigeni zaidi, mbali na binti Farao: wanawake wa Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni na Wahiti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni alipenda sana wanawake wa kigeni: Binti Farao, wanawake wa Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni, na Wahiti;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme Salomo akapenda wanawake wageni pamoja na binti Farao, wa Kimoabu na wa Kiamoni na wa Kiedomu na wa Kisidoni na wa Kihiti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono alipenda sana wanawake wa kigeni: binti ya mufalme wa Misri, wanawake wa Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni, na Wahiti,