1 Kings 11:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa alikuwa amemkataza Sulemani kufuata miungu mingine, Sulemani hakutii amri ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa alikuwa amemkataza Solomoni kufuata miungu mingine, Solomoni hakutii amri ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa alikuwa amemkataza Sulemani kufuata miungu mingine, Sulemani hakutii amri ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alikuwa amemwagiza neno hilo, asifuate miungu mingine; lakini hakuyashika, Bwana aliyomwagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni. Solomono hakutii amri ya Yawe.