1 Kings 11:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamfanya Hadadi aliyekuwa wa ukoo wa mfalme wa Edomu, kuwa adui ya Solomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akamwinua adui dhidi ya Sulemani, Hadadi, Mwedomu, kutoka ukoo wa ufalme wa Edomu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Bwana akamwondokeshea Sulemani adui, Hadadi Mwedomi; yeye alikuwa wa wazao wake mfalme wa Edomu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamfanya Hadadi aliyekuwa wa ukoo wa mfalme wa Edomu, kuwa adui ya Solomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akamwinua adui dhidi ya Solomoni, Hadadi, Mwedomu, kutoka ukoo wa kifalme wa Edomu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akamwinua adui dhidi ya Sulemani, Hadadi, Mwedomu, kutoka ukoo wa ufalme wa Edomu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo BWANA akamwinulia Sulemani adui, Hadadi Mwedomi; aliyekuwa wa wazao wake mfalme wa Edomu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamfanya Hadadi aliyekuwa wa ukoo wa mfalme wa Edomu, kuwa adui ya Solomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akainua mtu, awe mpingani wake Salomo, ni Mwedomu Hadadi aliyekuwa wa kizazi cha mfalme wa Edomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo BWANA akamwondokeshea Sulemani adui, Hadadi Mwedomi; yeye alikuwa wa wazao wake mfalme wa Edomu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yawe akamufanya Hadadi, aliyekuwa wa ukoo wa mufalme wa Edomu, kuwa adui ya Solomono.