1 Kings 11:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Yoabu alikaa huko na wanajeshi wake kwa muda wa miezi sita, apate kuwaangamiza kabisa wanaume wote wa Edomu.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoabu na Waisraeli wote walikaa huko kwa miezi sita, hadi walipomaliza kuwaangamiza wanaume wote huko Edomu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(kwa kuwa Yoabu alikaa huko miezi sita pamoja na Israeli wote, hata alipompoteza kila mwanamume wa Edomu);
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Yoabu alikaa huko na wanajeshi wake kwa muda wa miezi sita, apate kuwaangamiza kabisa wanaume wote wa Edomu.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoabu na Waisraeli wote walikaa huko kwa miezi sita, mpaka walipomaliza kuwaangamiza wanaume wote huko Edomu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoabu na Waisraeli wote walikaa huko kwa miezi sita, mpaka walipomaliza kuwaangamiza wanaume wote huko Edomu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(kwa kuwa Yoabu alikaa huko miezi sita pamoja na Israeli wote, hadi alipompoteza kila mwanamume wa Edomu);
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Yoabu alikaa huko na wanajeshi wake kwa muda wa miezi sita, apate kuwaangamiza kabisa wanaume wote wa Edomu.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Yoabu na Waisiraeli wote walikaa huko miezi sita, mpaka wakiisha kuwaangamiza watu wa kiume wote kule Edomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(kwa kuwa Yoabu alikaa huko miezi sita pamoja na Israeli wote, hata alipompoteza kila mwanamume wa Edomu);
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu alikaa kule na waaskari wake kwa muda wa miezi sita, apate kuwaangamiza kabisa wanaume wote wa Edomu.