1 Kings 11:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Hadadi ambaye wakati huo alikuwa kijana alitorokea Misri pamoja na Waedomu kadhaa, watumishi wa baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Hadadi, akiwa bado mvulana mdogo, alikimbilia Misri akiwa na baadhi ya maafisa wa Edomu waliokuwa wamemhudumia baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yule Hadadi alikimbia, yeye na Waedomi wengine, watumishi wa baba yake, pamoja naye, waende Misri; yule Hadadi akali ni mtoto mdogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Hadadi ambaye wakati huo alikuwa kijana alitorokea Misri pamoja na Waedomu kadhaa, watumishi wa baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Hadadi, akiwa bado mvulana mdogo, alikimbilia Misri akiwa na baadhi ya maafisa wa Kiedomu waliokuwa wakimhudumia baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Hadadi, akiwa bado mvulana mdogo, alikimbilia Misri akiwa na baadhi ya maafisa wa Kiedomu waliokuwa wakimhudumia baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yule Hadadi alikimbia, yeye na Waedomi wengine, watumishi wa baba yake, pamoja naye, waende Misri; yule Hadadi angali ni mtoto mdogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Hadadi ambaye wakati huo alikuwa kijana alitorokea Misri pamoja na Waedomu kadhaa, watumishi wa baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Hadadi alikimbia pamoja na waume wengine wa Edomu waliokuwa watumwa wa baba yake, wakaenda naye Misri, naye Hadai alikuwa akingali kijana mdogo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yule Hadadi alikimbia, yeye na Waedomi wengine, watumishi wa baba yake, pamoja naye, waende Misri; yule Hadadi akali ni mtoto mdogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Hadadi ambaye wakati ule alikuwa kijana alitorokea Misri pamoja na Waedomu wamoja, watumishi wa baba yake.