1 Kings 11:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farao alipendezwa sana na Hadadi. Hivyo Farao akamruhusu shemeji yake, mdogo wa malkia Tapenesi, aolewe na Hadadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao akapendezwa sana na Hadadi, hata akampa dada ya mkewe, Malkia Tapenesi, awe mke wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hadadi akapendeza sana machoni pa Farao, hata akamwoza umbu la mkewe, umbu la Tapenesi aliyekuwa malkia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farao alipendezwa sana na Hadadi. Hivyo Farao akamruhusu shemeji yake, mdogo wa malkia Tapenesi, aolewe na Hadadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao akapendezwa sana na Hadadi hata akampa ndugu wa mkewe mwenyewe, Malkia Tapenesi, ili aolewe na Hadadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao akapendezwa sana na Hadadi hata akampa ndugu wa mkewe mwenyewe, Malkia Tapenesi, ili aolewe na Hadadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hadadi akapendeza sana machoni pa Farao, hata akamwoza dada ya mkewe, dada ya Tapanesi aliyekuwa malkia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farao alipendezwa sana na Hadadi. Hivyo Farao akamruhusu shemeji yake, mdogo wa malkia Tapenesi, aolewe na Hadadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hadadi akapata upendeleo kabisa machoni pa Farao, akamwoza ndugu ya mkewe, ndiye ndugu ya Tahapenesi aliyekuwa mkewe mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hadadi akapendeza sana machoni pa Farao, hata akamwoza umbu la mkewe, umbu la Tapenesi aliyekuwa malkia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hadadi alipata kukubaliwa kabisa mbele ya mufalme wa Misri. Kwa hiyo mufalme wa Misri akamuruhusu shemeki yake, mudogo yake na malkia Tapanesi, aolewe na Hadadi.