1 Kings 11:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Farao akamwuliza, “Nimekunyima nini hata uamue sasa kurudi nchini kwako?” Naye Hadadi akamsihi akisema, “Uniache tu niende.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao akauliza, “Umekosa nini hapa, kwamba unataka kurudi katika nchi yako?” Hadadi akajibu, “Hakuna, lakini niruhusu niende!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akamwambia, Umekosa nini kwangu, hata, tazama, unatafuta kuirudia nchi yako? Akajibu, Hakuna, lakini unipe ruhusa tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Farao akamwuliza, “Nimekunyima nini hata uamue sasa kurudi nchini kwako?” Naye Hadadi akamsihi akisema, “Uniache tu niende.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao akauliza, “Umekosa nini hapa, kwamba unataka kurudi katika nchi yako?” Hadadi akajibu, “Hakuna, lakini niruhusu niende!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao akauliza, “Umekosa nini hapa, kwamba unataka kurudi katika nchi yako?” Hadadi akajibu, “Hakuna, lakini niruhusu niende!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akamwambia, Umekosa nini kwangu, hata, unatafuta kuirudia nchi yako? Akajibu, Hakuna, lakini unipe ruhusa tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Farao akamwuliza, “Nimekunyima nini hata uamue sasa kurudi nchini kwako?” Naye Hadadi akamsihi akisema, “Uniache tu niende.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Farao akamwambia: Unakosa nini huku kwangu ukitafuta njia ya kwenda katika nchi yako? Akamwambia: Hakuna, lakini nipe ruhusa, nijiendee!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akamwambia, Umekosa nini kwangu, hata, tazama, unatafuta kuirudia nchi yako? Akajibu, Hakuna, lakini unipe ruhusa tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mufalme wa Misri akamwuliza: “Nimekunyima nini hata uamue sasa kurudi katika inchi yako?” Naye Hadadi akasema: “Uniache tu niende.”