1 Kings 11:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile, Mungu alimfanya Rezoni mwana wa Eliada, awe adui ya Solomoni. Rezoni alikuwa amemtoroka bwana wake, mfalme Hadadezeri wa Soba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu akamwinua adui mwingine dhidi ya Sulemani, Rezoni mwana wa Eliada, aliyekuwa amemkimbia bwana wake Hadadezeri, mfalme wa Soba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, Mungu akamwondokeshea adui mwingine, Rezoni mwana wa Eliada, aliyemkimbia bwana wake Hadadezeri mfalme wa Soba,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile, Mungu alimfanya Rezoni mwana wa Eliada, awe adui ya Solomoni. Rezoni alikuwa amemtoroka bwana wake, mfalme Hadadezeri wa Soba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu akamwinua adui mwingine dhidi ya Solomoni, Rezoni mwana wa Eliyada, ambaye alikuwa amemkimbia bwana wake Hadadezeri, mfalme wa Soba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu akamwinua adui mwingine dhidi ya Sulemani, Rezoni mwana wa Eliada, ambaye alikuwa amemkimbia bwana wake Hadadezeri, mfalme wa Soba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, Mungu akamwinulia adui mwingine, Rezoni mwana wa Eliada, aliyemkimbia bwana wake Hadadezeri mfalme wa Soba,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile, Mungu alimfanya Rezoni mwana wa Eliada, awe adui ya Solomoni. Rezoni alikuwa amemtoroka bwana wake, mfalme Hadadezeri wa Soba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mungu akamwinua Rezoni, mwana wa Eliada, awe mpingani wake; ni yule aliyetoroka kwa bwana wake Hadadezeri, mfalme wa Soba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, Mungu akamwondokeshea adui mwingine, Rezoni mwana wa Eliada, aliyemkimbia bwana wake Hadadezeri mfalme wa Soba,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, Mungu alimufanya Resoni mwana wa Eliada, akuwe adui ya Solomono. Resoni alikuwa amemutoroka bwana wake, mufalme Hadadezeri wa Zoba.