1 Kings 11:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisa cha uasi huo ni hiki: Solomoni alipokuwa akishughulika na kusawazisha sehemu ya Milo, na kuimarisha kuta za mji wa baba yake Daudi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio maelezo ya jinsi alivyomwasi mfalme: Sulemani alikuwa amejenga Milo naye akawa ameziba mwanya katika ukuta wa mji wa Daudi baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hii ndiyo sababu ya yeye kumwinulia mfalme mkono. Sulemani aliijenga Milo, akapafunga palipobomoka pa mji wa baba yake Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisa cha uasi huo ni hiki: Solomoni alipokuwa akishughulika na kusawazisha sehemu ya Milo, na kuimarisha kuta za mji wa baba yake Daudi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo maelezo ya jinsi alivyomwasi mfalme: Solomoni alikuwa amejenga Milo naye akawa ameziba mwanya katika ukuta wa mji wa Daudi baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo maelezo ya jinsi alivyomwasi mfalme: Sulemani alikuwa amejenga Milo naye akawa ameziba mwanya katika ukuta wa mji wa Daudi baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hii ndiyo sababu ya yeye kumwasi mfalme. Sulemani aliijenga Milo, akapafunga palipobomoka pa mji wa baba yake Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisa cha uasi huo ni hiki: Solomoni alipokuwa akishughulika na kusawazisha sehemu ya Milo, na kuimarisha kuta za mji wa baba yake Daudi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akiinua mkono, amkatae mfalme, ilikuwa kwa ajili ya jambo hili: Salomo alipojenga Milo, apafunge mahali pale palipokuwa wazi penye mji wa baba yake Dawidi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hii ndiyo sababu ya yeye kumwinulia mfalme mkono. Sulemani aliijenga Milo, akapafunga palipobomoka pa mji wa baba yake Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisa cha uasi huo ni hiki: Solomono alijenga uwanja wa Milo na kuimarisha kuta za muji wa baba yake Daudi.