1 Kings 11:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeroboamu alionekana kuwa kijana hodari na shujaa. Ndipo Solomoni alipoona kwamba huyo kijana alikuwa mwenye bidii, akamweka awe msimamizi wa kazi za kulazimishwa zilizofanywa na watu wa ukoo wa Yosefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yeroboamu alikuwa mtu mwenye nguvu na hodari; naye Sulemani alipoona jinsi kijana alivyofanya kazi yake, akamweka kuwa kiongozi wa kazi yote ya mikono ya nyumba ya Yusufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huyo Yeroboamu alikuwa mtu hodari, shujaa; Sulemani akaona ya kuwa kijana huyo ni mtu mwenye bidii, akamweka juu ya kazi yote ya nyumba ya Yusufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeroboamu alionekana kuwa kijana hodari na shujaa. Ndipo Solomoni alipoona kwamba huyo kijana alikuwa mwenye bidii, akamweka awe msimamizi wa kazi za kulazimishwa zilizofanywa na watu wa ukoo wa Yosefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yeroboamu alikuwa mtu shujaa na hodari, naye Solomoni alipoona jinsi kijana alivyofanya kazi yake, akamweka kuwa kiongozi wa kazi yote ya mikono ya nyumba ya Yosefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yeroboamu alikuwa mtu shujaa na hodari, naye Sulemani alipoona jinsi kijana alivyofanya kazi yake, akamweka kuwa kiongozi wa kazi yote ya mikono ya nyumba ya Yusufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huyo Yeroboamu alikuwa mtu hodari, shujaa; Sulemani akaona ya kuwa kijana huyo ni mtu mwenye bidii, akamweka juu ya kazi yote ya nyumba ya Yusufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeroboamu alionekana kuwa kijana hodari na shujaa. Ndipo Solomoni alipoona kwamba huyo kijana alikuwa mwenye bidii, akamweka awe msimamizi wa kazi za kulazimishwa zilizofanywa na watu wa ukoo wa Yosefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yeye Yeroboamu alikuwa fundi wa vita mwenye nguvu. Salomo alipomwona huyu kijana, alivyofanya kazi, akamweka kuwa msimamizi wa kazi zote za nguvu za mlango wa Yosefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huyo Yeroboamu alikuwa mtu hodari, shujaa; Sulemani akaona ya kuwa kijana huyo ni mtu mwenye bidii, akamweka juu ya kazi yote ya nyumba ya Yusufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeroboamu alionekana kuwa kijana hodari na shujaa. Wakati Solomono alipoona kwamba huyo kijana alikuwa mwenye bidii, akamuweka akuwe musimamizi wa kazi za kulazimishwa zilizofanywa na watu wa ukoo wa Yosefu.