1 Kings 11:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni akawa na wanawake 700, wote mabinti wa kifalme; na masuria 300. Hao wanawake wakampotosha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa na wake mia saba, binti za uzao wa kifalme, na masuria mia tatu; nao wake zake wakampotosha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni akawa na wanawake 700, wote mabinti wa kifalme; na masuria 300. Hao wanawake wakampotosha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa na wake 700 wa uzao wa kifalme na masuria 300, nao hao wake zake wakampotosha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa na wake 700 mabinti wa uzao wa kifalme, na masuria 300, nao wake zake wakampotosha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wake zake wakamgeuza moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni akawa na wanawake 700, wote mabinti wa kifalme; na masuria 300. Hao wanawake wakampotosha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alikuwa na wanawake wa kifalme 700 na masuria 300; hao wakeze ndio waliougeuza moyo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono akakuwa na wanawake mia saba, wote wabinti wa kifalme, na wahabara mia tatu. Hao wanawake wakamupotosha.