1 Kings 11:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, nitamnyanganya mwanawe ufalme huo, nami nitakupatia wewe Yeroboamu makabila kumi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitauondoa ufalme kutoka mikononi mwa mwanawe na kukupa wewe makabila kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini nitauondoa ufalme katika mkono wa mwanawe, nami nitakupa wewe kabila kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, nitamnyang'anya mwanawe ufalme huo, nami nitakupatia wewe Yeroboamu makabila kumi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitauondoa ufalme kutoka mikononi mwa mwanawe na kukupa wewe makabila kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitauondoa ufalme kutoka mikononi mwa mwanawe na kukupa wewe makabila kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila nitauondoa ufalme katika mkono wa mwanawe, nami nitakupa wewe makabila kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, nitamnyanganya mwanawe ufalme huo, nami nitakupatia wewe Yeroboamu makabila kumi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitauondoa ufalme mkononi mwa mwanawe, nikupe mashina kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini nitauondoa ufalme katika mkono wa mwanawe, nami nitakupa wewe kabila kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, nitamunyanganya mwana wake ufalme ule, nami nitakupatia wewe Yeroboamu makabila kumi.