1 Kings 11:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na hayo, nitawaadhibu wazawa wa Daudi, lakini si daima.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawatesa wazao wa Daudi kwa ajili ya haya, lakini siyo milele.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena nitawatesa wazao wa Daudi kwa sababu hii, lakini si daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na hayo, nitawaadhibu wazawa wa Daudi, lakini si daima.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawatesa wazao wa Daudi kwa ajili ya hili, lakini siyo milele.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawatesa wazao wa Daudi kwa ajili ya hili, lakini siyo milele.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena nitawatesa wazao wa Daudi kwa sababu hii, lakini si daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na hayo, nitawaadhibu wazawa wa Daudi, lakini si daima.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wao wa kizazi cha Dawidi nitawatesa kwa ajili ya mambo hayo, lakini si siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena nitawatesa wazao wa Daudi kwa sababu hii, lakini si daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokana na hayo, nitawaazibu wazao wa Daudi, lakini si siku zote.’ ”