1 Kings 11:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mambo mengine ya Solomoni, yote aliyotenda na hekima yake, yameandikwa katika Kitabu cha Matendo ya Solomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu matukio mengine ya utawala wa Sulemani, yote aliyoyafanya na hekima aliyoionesha, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za Sulemani?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo yaliyosalia ya Sulemani, mambo yake na yote aliyoyafanya, na hekima yake, je! Hayo siyo yaliyoandikwa kitabuni mwa mambo yake Sulemani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mambo mengine ya Solomoni, yote aliyotenda na hekima yake, yameandikwa katika Kitabu cha Matendo ya Solomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa habari za matukio mengine ya utawala wa Solomoni, yote aliyoyafanya na hekima aliyoionyesha, je hayakuandikwa yote katika kitabu cha matendo cha Solomoni?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa habari za matukio mengine ya utawala wa Sulemani, yote aliyoyafanya na hekima aliyoionyesha, je hayakuandikwa yote katika kitabu cha matendo cha Sulemani?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo yaliyosalia ya Sulemani, mambo yake na yote aliyoyafanya, na hekima yake, je! Hayo siyo yaliyoandikwa kitabuni mwa mambo yake Sulemani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mambo mengine ya Solomoni, yote aliyotenda na hekima yake, yameandikwa katika Kitabu cha Matendo ya Solomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo mengine ya Salomo nayo yote, aliyoyafanya, na maneno ya werevu wake uliokuwa wa kweli, hayakuandikwa katika kitabu cha mambo ya Salomo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo yaliyosalia ya Sulemani, mambo yake na yote aliyoyafanya, na hekima yake, je! Hayo siyo yaliyoandikwa kitabuni mwa mambo yake Sulemani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo mengine ya Solomono, yote aliyofanya na hekima yake yameandikwa katika Kitabu cha Matendo ya Solomono.