1 Kings 11:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa muda wa miaka arubaini, Solomoni aliitawala nchi yote ya Israeli; makao yake yakiwa Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na siku alizotawala Sulemani katika Yerusalemu juu ya Israeli wote zilikuwa miaka arobaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa muda wa miaka arubaini, Solomoni aliitawala nchi yote ya Israeli; makao yake yakiwa Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na siku alizotawala Sulemani katika Yerusalemu juu ya Israeli wote zilikuwa miaka arobaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa muda wa miaka arubaini, Solomoni aliitawala nchi yote ya Israeli; makao yake yakiwa Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo siku, Salomo alizokuwa mfalme mle Yerusalemu na kuwatawala Waisiraeli wote, ni miaka 40.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na siku alizotawala Sulemani katika Yerusalemu juu ya Israeli wote zilikuwa miaka arobaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa muda wa miaka makumi ine, Solomono aliitawala inchi yote ya Israeli, makao yake yakiwa Yerusalema.