1 Kings 11:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatimaye, Solomoni alifariki, akazikwa katika mji wa baba yake Daudi. Rehoboamu, mwanawe Solomoni, akatawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Sulemani akalala na baba zake, akazikwa katika mji wa Daudi, baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sulemani akalala na baba zake, akazikwa katika mji wa Daudi baba yake; na Rehoboamu mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatimaye, Solomoni alifariki, akazikwa katika mji wa baba yake Daudi. Rehoboamu, mwanawe Solomoni, akatawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akalala pamoja na baba zake na akazikwa katika mji wa Daudi baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akatawala badala yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Sulemani akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa katika mji wa Daudi baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sulemani akalala na baba zake, akazikwa katika mji wa Daudi baba yake; na Rehoboamu mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatimaye, Solomoni alifariki, akazikwa katika mji wa baba yake Daudi. Rehoboamu, mwanawe Solomoni, akatawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Salomo akaja kulala na baba zake, akazikwa mjini mwa baba yake Dawidi, naye mwanawe Rehabeamu akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sulemani akalala na baba zake, akazikwa katika mji wa Daudi baba yake; na Rehoboamu mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Solomono alikufa, akazikwa katika muji wa baba yake Daudi. Rehoboamu mwana wa Solomono akatawala kwa pahali pake.