1 Kings 11:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni alimtumikia Ashtarothi aliyekuwa mungu wa kike wa Wasidoni, na alimfuata Milkomu chukizo la Waamoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani akafuata Ashtorethi, mungu wa kike wa Wasidoni, na Moleki mungu wa Waamoni, aliyekuwa chukizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Sulemani akamfuata Ashtorethi, mungu mke wa Wasidoni na Milkomu, chukizo la Waamoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni alimtumikia Ashtarothi aliyekuwa mungu wa kike wa Wasidoni, na alimfuata Milkomu chukizo la Waamoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafuata Ashtorethi mungu mke wa Wasidoni, na Moleki mungu aliyekuwa chukizo la Waamoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani akafuata Ashtorethi mungu mke wa Wasidoni, na Moleki mungu aliyekuwa chukizo la Waamoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Sulemani akamfuata Ashtorethi, mungu wa kike wa Wasidoni na Milkomu, chukizo la Waamoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni alimtumikia Ashtarothi aliyekuwa mungu wa kike wa Wasidoni, na alimfuata Milkomu chukizo la Waamoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo akamfuata Astoreti, mungu wa kike wa Sidoni, na Milkomu, tapisho lao Waamoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Sulemani akamfuata Ashtorethi, mungu mke wa Wasidoni na Milkomu, chukizo la Waamoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono alimutumikia Astaroti aliyekuwa mungu wa Wasidoni, na alimufuata Milkomu, mungu wa chukizo wa Waamoni.