1 Kings 11:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kadhalika, aliwajengea wake zake wote wa kigeni mahali pa kufukizia ubani na kuitambikia miungu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya vivyo hivyo kwa wake zake wote wa kigeni, ambao walifukiza uvumba na kutoa dhabihu kwa miungu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kadhalika ndivyo alivyowafanyia wake zake wa nchi za kigeni, waliofukiza uvumba, wakawatolea miungu yao dhabihu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kadhalika, aliwajengea wake zake wote wa kigeni mahali pa kufukizia ubani na kuitambikia miungu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya hivyo kwa wake zake wote wa kigeni, ambao walifukiza uvumba na kutoa dhabihu kwa miungu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya hivyo kwa wake zake wote wa kigeni, ambao walifukiza uvumba na kutoa dhabihu kwa miungu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kadhalika ndivyo alivyowafanyia wake zake wa nchi za kigeni, waliofukiza uvumba, wakawatolea miungu yao dhabihu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kadhalika, aliwajengea wake zake wote wa kigeni mahali pa kufukizia ubani na kuitambikia miungu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, alivyowafanyia wakeze wageni wote, wapate kuivukizia na kuitambikia miungu yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kadhalika ndivyo alivyowafanyia wake zake wa nchi za kigeni, waliofukiza uvumba, wakawatolea miungu yao dhabihu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, aliwajengea wake zake wote wa kigeni nafasi ya kufukizia ubani na kuitambikia miungu yao.