1 Kings 11:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, alimkasirikia Solomoni, kwa sababu alikuwa amemwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ingawa yeye alikuwa amemtokea mara mbili,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamkasirikia Sulemani kwa sababu moyo wake uligeuka mbali na Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, aliyekuwa amemtokea mara mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Bwana akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha Bwana, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, alimkasirikia Solomoni, kwa sababu alikuwa amemwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ingawa yeye alikuwa amemtokea mara mbili,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamkasirikia Solomoni kwa sababu moyo wake uligeuka mbali na BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye alikuwa amemtokea mara mbili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamkasirikia Sulemani kwa sababu moyo wake uligeuka mbali na bwana, Mungu wa Israeli, ambaye alikuwa amemtokea mara mbili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi BWANA akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha BWANA, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, alimkasirikia Solomoni, kwa sababu alikuwa amemwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ingawa yeye alikuwa amemtokea mara mbili,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipomchafukia Salomo, kwa kuwa ameugeuza moyo wake, usimwelekee Bwana Mungu wa Isiraeli aliyemtokea mara mbili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi BWANA akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha BWANA, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe alimukasirikia Solomono, kwa sababu alikuwa amemwacha Yawe, Mungu wa Israeli, ingawa yeye alikuwa amemutokea mara mbili