1 Kings 12:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme akawajibu watu hao kwa ukali, akapuuza shauri alilopewa na wazee,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akawajibu watu kwa ukatili. Alikataa ushauri alilopewa na wazee,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akawajibu watu wale kwa ukali, akaliacha shauri lile wazee walilompa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme akawajibu watu hao kwa ukali, akapuuza shauri alilopewa na wazee,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akawajibu watu kwa ukatili. Akikataa shauri alilopewa na wazee,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akawajibu watu kwa ukatili. Akikataa shauri alilopewa na wazee,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akawajibu watu wale kwa ukali, akaliacha shauri lile wazee walilompa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme akawajibu watu hao kwa ukali, akapuuza shauri alilopewa na wazee,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfalme alipowapa hawa watu majibu magumu akiliacha shauri la wazee, walilompa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akawajibu watu wale kwa ukali, akaliacha shauri lile wazee walilompa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akawajibu watu hao kwa ukali, akazarau shauri alilopewa na wazee,