1 Kings 12:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni, mfalme wa Yuda, na watu wote wa kabila la Yuda na Benyamini na watu wengine,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, na nyumba yote ya Yuda na Benyamini, na watu wengine wote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, na jamaa yote ya Yuda na Benyamini, na watu waliosalia, ukisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni, mfalme wa Yuda, na watu wote wa kabila la Yuda na Benyamini na watu wengine,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni mfalme wa Yuda, nayo nyumba yote ya Yuda, ya Benyamini na watu wengine wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani mfalme wa Yuda, na nyumba yote ya Yuda na Benyamini, na watu wengine wote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, na jamaa yote ya Yuda na Benyamini, na watu waliosalia, ukisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni, mfalme wa Yuda, na watu wote wa kabila la Yuda na Benyamini na watu wengine,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwambie Rehabeamu, mwana wa Salomo, mfalme wa Wayuda, nao wote wa milango ya Yuda na ya Benyamini nao wale watu waliosalia huku kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, na jamaa yote ya Yuda na Benyamini, na watu waliosalia, ukisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Umwambie Rehoboamu mwana wa Solomono, mufalme wa Yuda, na watu wote wa kabila la Yuda na Benjamina na watu wengine,