1 Kings 12:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Yeroboamu akaanza kufikirifikiri: “Sasa ufalme utarudi kwa jamaa ya mfalme Daudi
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeroboamu akawaza moyoni mwake, “Kuna uwezekano wa ufalme kurudia nyumba ya Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeroboamu akasema moyoni mwake, Basi ufalme utairudia nyumba ya Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Yeroboamu akaanza kufikirifikiri: “Sasa ufalme utarudi kwa jamaa ya mfalme Daudi
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeroboamu akawaza moyoni mwake, “Sasa inawezekana ufalme ukarudi katika nyumba ya Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeroboamu akawaza moyoni mwake, “Sasa inawezekana ufalme ukarudi katika nyumba ya Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeroboamu akasema moyoni mwake, Basi ufalme utairudia nyumba ya Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Yeroboamu akaanza kufikirifikiri: “Sasa ufalme utarudi kwa jamaa ya mfalme Daudi
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeroboamu akasema moyoni mwake: Sasa ufalme utarudi kuwa wa mlango wa Dawidi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeroboamu akasema moyoni mwake, Basi ufalme utairudia nyumba ya Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yeroboamu akaanza kufikirifikiri: “Sasa ufalme utarudi kwa jamaa ya mufalme Daudi