1 Kings 12:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama watu hawa wataendelea kwenda kutambikia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu huko Yerusalemu. Mioyo yao itamgeukia bwana wao Rehoboamu mfalme wa Yuda, nao wataniua mimi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama watu hawa watapanda kwenda kutoa dhabihu katika Hekalu la Mwenyezi Mungu huko Yerusalemu, mioyo yao itamrudia bwana wao, Rehoboamu mfalme wa Yuda. Wataniua mimi na kurudi kwa Mfalme Rehoboamu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama watu hawa wakipanda kwenda kutoa dhabihu katika nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, ndipo mioyo ya watu hawa itamrudia bwana wao, yaani Rehoboamu, mfalme wa Yuda; nao wataniua mimi, na kumrudia Rehoboamu, mfalme wa Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama watu hawa wataendelea kwenda kutambikia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu huko Yerusalemu. Mioyo yao itamgeukia bwana wao Rehoboamu mfalme wa Yuda, nao wataniua mimi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama watu hawa watapanda kwenda kutoa dhabihu katika Hekalu la BWANA huko Yerusalemu, mioyo yao itamrudia bwana wao, Rehoboamu mfalme wa Yuda. Wataniua mimi na kurudi kwa Mfalme Rehoboamu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama watu hawa watapanda kwenda kutoa dhabihu katika Hekalu la bwana huko Yerusalemu, mioyo yao itamrudia bwana wao, Rehoboamu mfalme wa Yuda. Wataniua mimi na kurudi kwa Mfalme Rehoboamu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama watu hawa wakipanda kwenda kutoa dhabihu katika nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, ndipo mioyo ya watu hawa itamrudia bwana wao, yaani Rehoboamu, mfalme wa Yuda; nao wataniua mimi, na kumrudia Rehoboamu, mfalme wa Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama watu hawa wataendelea kwenda kutambikia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu huko Yerusalemu. Mioyo yao itamgeukia bwana wao Rehoboamu mfalme wa Yuda, nao wataniua mimi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
watu wa huku wakipanda kwenda kutambikia Nyumbani mwa Bwana mle Yerusalemu; ndipo, mioyo ya watu wa huku itakapowageukia mabwana zao naye Rehabeamu, mfalme wa Wayuda, kisha wataniua, wapate kurudi kwa Rehabeamu, mfalme wa Wayuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama watu hawa wakipanda kwenda kutoa dhabihu katika nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, ndipo mioyo ya watu hawa itamrudia bwana wao, yaani Rehoboamu, mfalme wa Yuda; nao wataniua mimi, na kumrudia Rehoboamu, mfalme wa Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama watu hawa wataendelea kwenda kutoa sadaka katika nyumba ya Yawe kule Yerusalema. Mioyo yao itamugeukia bwana wao Rehoboamu mufalme wa Yuda, nao wataniua mimi.”