1 Kings 12:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tendo hili likawa dhambi, maana watu waliandamana kwenda kuzitambikia sanamu hizo huko Betheli na Dani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nalo jambo hili likawa dhambi, watu wakawa wanaenda hadi Dani kumwabudu huyo aliyewekwa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jambo hili likawa dhambi, maana watu walikwenda kuabudu mbele ya kila mmoja, hata huko Dani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tendo hili likawa dhambi, maana watu waliandamana kwenda kuzitambikia sanamu hizo huko Betheli na Dani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nalo jambo hili likawa dhambi, watu wakawa wanaenda hadi Dani kumwabudu huyo aliyewekwa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nalo jambo hili likawa dhambi, watu wakawa wanaenda hadi Dani kumwabudu huyo aliyewekwa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jambo hili likawa dhambi, maana watu walikwenda kuabudu mbele ya kila mmoja, hata huko Dani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tendo hili likawa dhambi, maana watu waliandamana kwenda kuzitambikia sanamu hizo huko Betheli na Dani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jambo hili likawakosesha watu, kwani watu wakaenda hata Dani kuitambikia hiyo moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jambo hili likawa dhambi, maana watu walikwenda kuabudu mbele ya kila mmoja, hata huko Dani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tendo hili likakuwa zambi, maana watu waliandamana kwenda kuzitambikia sanamu hizo kule Beteli na Dani.