1 Kings 12:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile, Yeroboamu alijenga mahali pa kutambikia vilimani, akateua makuhani, watu ambao hawakuwa wa ukoo wa Lawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeroboamu akajenga nyumba za ibada katika mahali pa juu pa kuabudia, na kuwateua makuhani kutoka watu wa aina zote, ijapokuwa hawakuwa Walawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akafanya nyumba za mahali pa juu, akafanya na watu wo wote, watu wasio wa wana wa Lawi, kuwa makuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile, Yeroboamu alijenga mahali pa kutambikia vilimani, akateua makuhani, watu ambao hawakuwa wa ukoo wa Lawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeroboamu akajenga madhabahu mahali pa juu pa kuabudia miungu na kuwateua makuhani kutoka watu wa aina zote, ijapokuwa hawakuwa Walawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeroboamu akajenga madhabahu mahali pa juu pa kuabudia miungu na kuwateua makuhani kutoka watu wa aina zote, ijapokuwa hawakuwa Walawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akafanya nyumba za mahali pa juu, akafanya na watu wowote, watu wasio wa wana wa Lawi, kuwa makuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile, Yeroboamu alijenga mahali pa kutambikia vilimani, akateua makuhani, watu ambao hawakuwa wa ukoo wa Lawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata vilimani juu akatengeneza vijumba vya kutambikia, akaweka nao watu wo wote kuwa watambikaji wasiokuwa na wana wa Lawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akafanya nyumba za mahali pa juu, akafanya na watu wo wote, watu wasio wa wana wa Lawi, kuwa makuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, Yeroboamu alijenga nafasi ya kutambikia juu ya vilima, akachagua makuhani ambao hawakukuwa wa ukoo wa Lawi.