1 Kings 12:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Baba yako alitutwisha mzigo mzito. Basi, utupunguzie mzigo huo, nasi tutakutumikia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Baba yako aliweka nira nzito juu yetu, lakini sasa tupunguzie kazi za kikatili na nira nzito aliyoweka juu yetu, nasi tutakutumikia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baba yako alilifanya zito kongwa letu; basi sasa utupunguzie utumwa mzito tuliotumikishwa na baba yako, na lile kongwa zito alilotutwika, nasi tutakutumikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Baba yako alitutwisha mzigo mzito. Basi, utupunguzie mzigo huo, nasi tutakutumikia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Baba yako aliweka nira nzito juu yetu, lakini sasa ufanye nyepesi kazi za kikatili na nira nzito aliyoweka juu yetu, nasi tutakutumikia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Baba yako aliweka nira nzito juu yetu, lakini sasa tupunguzie kazi za kikatili na nira nzito aliyoweka juu yetu, nasi tutakutumikia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baba yako alilifanya zito kongwa letu; basi sasa utupunguzie utumwa mzito tuliotumikishwa na baba yako, na lile kongwa zito alilotutwika, nasi tutakutumikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Baba yako alitutwisha mzigo mzito. Basi, utupunguzie mzigo huo, nasi tutakutumikia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baba yako alitutwisha mzigo mzito, nawe wewe sasa utupunguzie ule utumwa mgumu wa baba yako nao mzigo wake mzito, aliotutwisha! Kisha tutakutumikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baba yako alilifanya zito kongwa letu; basi sasa utupunguzie utumwa mzito tuliotumikishwa na baba yako, na lile kongwa zito alilotutwika, nasi tutakutumikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Baba yako alitubebesha muzigo muzito. Basi, utupunguzie muzigo huo muzito wa baba yako, nasi tutakutumikia.”