1 Kings 12:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Rehoboamu akawaambia, “Nendeni, mrudi kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Enendeni zenu hata siku ya tatu, kisha mnirudie tena. Watu wakaenda zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Rehoboamu akawaambia, “Nendeni, mrudi kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Nendeni zenu hata siku ya tatu, kisha mnirudie tena. Watu wakaenda zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Rehoboamu akawaambia, “Nendeni, mrudi kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Nendeni kwanza siku tatu, kisha rudini kwangu! Watu walipokwenda zao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Enendeni zenu hata siku ya tatu, kisha mnirudie tena. Watu wakaenda zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Rehoboamu akawaambia: “Mwende, murudie kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka.