1 Kings 13:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mtu huyo akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo, akafuata njia nyingine na hakurudi kupitia njia aliyokuwa ameijia Betheli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akaenda zake kwa njia nyingine, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mtu huyo akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo akafuata njia nyingine na hakurudi kupitia njia ile ambayo alikuwa ameijia Betheli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo akafuata njia nyingine na hakurudi kupitia njia ile ambayo alikuwa ameijia Betheli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akaenda zake kwa njia nyingine, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mtu huyo akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaenda zake na kushika njia nyingine, hakuirudia njia ile, aliyokuja nayo alipokwenda Beteli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akaenda zake kwa njia nyingine, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mutu yule akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoifuata kwa kuja Beteli.