1 Kings 13:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba yao akawauliza, “Amefuata njia ipi?” Nao wakamwonesha njia aliyoifuata huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba yao akawauliza, “Ameelekea njia gani?” Nao wanawe wakamwonesha ile njia yule mtu wa Mungu kutoka Yuda aliyopita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baba yao akawaambia, Amekwenda zake kwa njia ipi? Kwa maana wanawe walikuwa wameiona njia ile aliyoiendea yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba yao akawauliza, “Amefuata njia ipi?” Nao wakamwonesha njia aliyoifuata huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba yao akawauliza, “Ameelekea njia gani?” Nao wanawe wakamwonyesha ile njia yule mtu wa Mungu kutoka Yuda aliyopita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba yao akawauliza, “Ameelekea njia gani?” Nao wanawe wakamwonyesha ile njia yule mtu wa Mungu kutoka Yuda aliyopita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baba yao akawaambia, Amekwenda zake kwa njia ipi? Kwa maana wanawe walikuwa wameiona njia ile aliyoiendea yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba yao akawauliza, “Amefuata njia ipi?” Nao wakamwonesha njia aliyoifuata huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
baba yao akawauliza: Amekwenda na kushika njia gani? Wanawe walipomwonyesha njia, yule mtu wa Mungu aliyetoka Yuda aliyoishika,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baba yao akawaambia, Amekwenda zake kwa njia ipi? Kwa maana wanawe walikuwa wameiona njia ile aliyoiendea yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba yao akawauliza: “Amefuata njia gani?” Nao wakamwonyesha njia yule mutu wa Mungu aliyoifuata kutoka Yuda.