1 Kings 13:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamfuata yule mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mti wa mwaloni. Basi, akamwuliza, “Je, wewe ndiwe yule mtu wa Mungu kutoka Yuda?” Naye akamjibu, “Naam! Mimi ndiye.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kumfuatilia yule mtu wa Mungu. Akamkuta ameketi chini ya mwaloni na kumuuliza, “Je, wewe ndiwe mtu wa Mungu kutoka Yuda?” Akamjibu, “Mimi ndiye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamfuata mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mwaloni, akamwambia, Je! Wewe ndiwe yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda? Akamwambia, Mimi ndiye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamfuata yule mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mti wa mwaloni. Basi, akamwuliza, “Je, wewe ndiwe yule mtu wa Mungu kutoka Yuda?” Naye akamjibu, “Naam! Mimi ndiye.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kumfuatilia yule mtu wa Mungu. Akamkuta ameketi chini ya mwaloni na akamwuliza, “Je, wewe ndiwe mtu wa Mungu kutoka Yuda?” Akamjibu, “Mimi ndiye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kumfuatilia yule mtu wa Mungu. Akamkuta ameketi chini ya mwaloni na akamuuliza, “Je, wewe ndiwe mtu wa Mungu kutoka Yuda?” Akamjibu, “Mimi ndiye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamfuata mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mwaloni, akamwambia, Je! Wewe ndiwe yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda? Akamwambia, Mimi ndiye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamfuata yule mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mti wa mwaloni. Basi, akamwuliza, “Je, wewe ndiwe yule mtu wa Mungu kutoka Yuda?” Naye akamjibu, “Naam! Mimi ndiye.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamfuata yule mtu wa Mungu, akamkuta, akikaa chini ya mkwaju, akamwuliza: Kumbe wewe ndiwe mtu wa Mungu aliyetoka Yuda? Akamwambia: Ni mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamfuata mtu wa Mungu, akamkuta ameketi chini ya mwaloni, akamwambia, Je! Wewe ndiwe yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda? Akamwambia, Mimi ndiye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamufuata yule mutu wa Mungu, akamukuta akiikaa chini ya muti wa mwalo. Basi, akamwuliza: “Wewe ndiwe yule mutu wa Mungu kutoka Yuda?” Naye akamujibu: “Ndiyo. Mimi ndiye.”