1 Kings 13:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo mzee akamwambia, “Karibu nyumbani kwangu, ukale chakula.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi nabii akamwambia, “Karibu nyumbani pamoja na mimi, ule.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Karibu kwangu nyumbani, ule chakula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo mzee akamwambia, “Karibu nyumbani kwangu, ukale chakula.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi nabii akamwambia, “Karibu nyumbani pamoja na mimi ule.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi nabii akamwambia, “Karibu nyumbani pamoja na mimi ule.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Karibu kwangu nyumbani, ule chakula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo mzee akamwambia, “Karibu nyumbani kwangu, ukale chakula.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Nifuate kwenda nyumbani, ule chakula!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Karibu kwangu nyumbani, ule chakula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule muzee akamwambia: “Karibu katika nyumba yangu, ukule chakula.”