1 Kings 13:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana, Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji mahali hapa, wala nisirudi kwa njia niliyoijia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeambiwa kwa neno la Mwenyezi Mungu: ‘Kamwe usile mkate au kunywa maji huko au kurudia njia uliyojia.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwani nimeambiwa kwa neno la Bwana, Usile chakula wala usinywe maji huko, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana, Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji mahali hapa, wala nisirudi kwa njia niliyoijia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeambiwa kwa neno la BWANA: ‘Kamwe usile mkate au kunywa maji huko au kurudia njia uliyojia.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeambiwa kwa neno la bwana: ‘Kamwe usile mkate au kunywa maji huko au kurudia njia uliyojia.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwani nimeambiwa kwa neno la BWANA, Usile chakula wala usinywe maji huko, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana, Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji mahali hapa, wala nisirudi kwa njia niliyoijia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani nimeambiwa na neno la Bwana: Usile huko chakula, wala usinywe maji huko, wala usirudi na kuishika njia ile, uliyokuja nayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwani nimeambiwa kwa neno la BWANA, Usile chakula wala usinywe maji huko, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana, Yawe aliniamuru nisikule chakula au kunywa maji pahali hapa, wala nisirudie kwa njia niliyokuja nayo.”