1 Kings 13:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokuwa mezani, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia huyo nabii mzee,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokuwa wameketi mezani, neno la Mwenyezi Mungu likamjia yule nabii mzee aliyemrudisha huyo mtu wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikawa, walipokuwa wameketi mezani, neno la Bwana likamjia nabii yule aliyemrudisha;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokuwa mezani, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia huyo nabii mzee,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati walipokuwa wameketi mezani, neno la BWANA likamjia yule nabii mzee aliyemrudisha huyo mtu wa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati walipokuwa wameketi mezani, neno la bwana likamjia yule nabii mzee aliyemrudisha huyo mtu wa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ikawa, walipokuwa wameketi mezani, neno la BWANA likamjia nabii yule aliyemrudisha;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokuwa mezani, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia huyo nabii mzee,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, wao walipokaa mezani, ndipo, neno la Bwana lilipomjia yule mfumbuaji aliyemrudisha,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikawa, walipokuwa wameketi mezani, neno la BWANA likamjia nabii yule aliyemrudisha;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokuwa kwa meza, neno la Yawe lilimufikia yule nabii muzee