1 Kings 13:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye akamwambia kwa sauti huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda: “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Wewe umeacha kutii ujumbe wa Mwenyezi-Mungu; wewe hukufuata amri aliyokupa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akampazia sauti yule mtu wa Mungu aliyekuwa ametoka Yuda, “Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: ‘Umeasi neno la Mwenyezi Mungu na hukushika amri uliyopewa na Mwenyezi Mungu, Mungu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akamlilia yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda, akinena, Bwana asema hivi, Kwa sababu umeiasi kauli ya Bwana, wala hukuishika amri ile aliyokuamuru Bwana, Mungu wako,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye akamwambia kwa sauti huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda: “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Wewe umeacha kutii ujumbe wa Mwenyezi-Mungu; wewe hukufuata amri aliyokupa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akampazia sauti yule mtu wa Mungu aliyekuwa ametoka Yuda, “Hivi ndivyo asemavyo BWANA: ‘Umeasi neno la BWANA na hukushika amri uliyopewa na BWANA Mungu wako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akampazia sauti yule mtu wa Mungu aliyekuwa ametoka Yuda, “Hivi ndivyo asemavyo bwana: ‘Umeasi neno la bwana na hukushika amri uliyopewa na bwana Mwenyezi Mungu wako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akamlilia yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda, akinena, BWANA asema hivi, Kwa sababu umeiasi kauli ya BWANA, wala hukuishika amri ile aliyokuamuru BWANA, Mungu wako,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye akamwambia kwa sauti huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda: “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Wewe umeacha kutii ujumbe wa Mwenyezi-Mungu; wewe hukufuata amri aliyokupa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwambia yule mtu wa Mungu aliyetoka Yuda na kupaza sauti akisema: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Kwa kuwa hukukitii kinywa cha Bwana, usiliangalie agizo, Bwana Mungu wako alilokuagiza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akamlilia yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda, akinena, BWANA asema hivi, Kwa sababu umeiasi kauli ya BWANA, wala hukuishika amri ile aliyokuamuru BWANA, Mungu wako,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye akamwambia kwa sauti yule mutu wa Mungu kutoka Yuda: “Yawe anasema hivi: ‘Wewe umeacha kutii ujumbe wa Yawe. Wewe haukufuata amri Yawe, Mungu wako, aliyokupa.