1 Kings 13:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Badala yake, umerudi hapa, ukala chakula na kunywa maji mahali hapa ambapo uliambiwa usile chakula wala kunywa maji. Basi, mwili wako hautazikwa kwenye kaburi la babu zako.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulirudi, ukala mkate na kunywa maji mahali alipokuambia usile wala usinywe. Kwa hiyo maiti yako haitazikwa katika kaburi la baba zako.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali umerudi, ukala chakula ukanywa maji, hapo alipokuambia, Usile chakula, wala usinywe maji; maiti yako haitaliingia kaburi la baba zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Badala yake, umerudi hapa, ukala chakula na kunywa maji mahali hapa ambapo uliambiwa usile chakula wala kunywa maji. Basi, mwili wako hautazikwa kwenye kaburi la babu zako.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bali ulirudi na ukala mkate na kunywa maji mahali ambapo alikuambia usile wala usinywe. Kwa hiyo maiti yako haitazikwa katika kaburi la baba zako.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bali ulirudi na ukala mkate na kunywa maji mahali ambapo alikuambia usile wala usinywe. Kwa hiyo maiti yako haitazikwa katika kaburi la baba zako.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali umerudi, ukala chakula ukanywa maji, hapo alipokuambia, Usile chakula, wala usinywe maji; maiti yako haitaliingia kaburi la baba zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Badala yake, umerudi hapa, ukala chakula na kunywa maji mahali hapa ambapo uliambiwa usile chakula wala kunywa maji. Basi, mwili wako hautazikwa kwenye kaburi la babu zako.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukarudi, ukala chakula, ukanywa maji mahali hapo, alipokuambia: usile chakula, wala usinywe maji hapo! basi, kwa hiyo maiti yako haitaingia kaburini kwa baba zako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali umerudi, ukala chakula ukanywa maji, hapo alipokuambia, Usile chakula, wala usinywe maji; maiti yako haitaliingia kaburi la baba zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa pahali pake, umerudi hapa, ukakula chakula na kunywa maji pahali hapa ambapo uliambiwa usikule chakula wala kunywa maji. Basi, mwili wako hautazikwa kwenye kaburi la babu zako.’ ”