1 Kings 13:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipomaliza kula, huyo nabii mzee akamtandikia punda huyo mtu wa Mungu, naye akaondoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyo mtu wa Mungu alipomaliza kula na kunywa, nabii aliyekuwa amemrudisha akamtandikia punda wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa, alipokwisha kula chakula na kunywa maji, yule nabii aliyemrudisha akamtandikia punda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipomaliza kula, huyo nabii mzee akamtandikia punda huyo mtu wa Mungu, naye akaondoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huyo mtu wa Mungu alipomaliza kula na kunywa, nabii aliyekuwa amemrudisha akamtandikia punda wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huyo mtu wa Mungu alipomaliza kula na kunywa, nabii aliyekuwa amemrudisha akamtandikia punda wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa, alipokwisha kula chakula na kunywa maji, yule nabii aliyemrudisha akamtandikia punda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipomaliza kula, huyo nabii mzee akamtandikia punda huyo mtu wa Mungu, naye akaondoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kula chakula na kunywa maji, yule akamtandikia punda huyu mfumbuaji, aliyemrudisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa, alipokwisha kula chakula na kunywa maji, yule nabii aliyemrudisha akamtandikia punda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipomaliza kula, yule nabii muzee akamutayarishia yule mutu wa Mungu punda, naye akaondoka.