1 Kings 13:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipokuwa anakwenda zake, simba akakutana naye njiani, akamuua; mwili wake ukawa umetupwa hapo barabarani; punda wake na huyo simba wakawa wamesimama kando yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa akienda akakutana na simba njiani, akamuua na maiti yake ikabwagwa barabarani, huku punda wake na simba wakiwa wamesimama kando yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alipokuwa amekwenda zake, simba alimkuta njiani, akamwua. Maiti yake ikatupwa njiani, na yule punda akasimama karibu naye; na yule simba naye akasimama karibu na maiti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipokuwa anakwenda zake, simba akakutana naye njiani, akamuua; mwili wake ukawa umetupwa hapo barabarani; punda wake na huyo simba wakawa wamesimama kando yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokuwa akienda akakutana na simba njiani, akamwua na maiti yake ikabwagwa barabarani, yule punda wake na simba wakiwa wamesimama karibu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa akienda akakutana na simba njiani, akamuua na maiti yake ikabwagwa barabarani, yule punda wake na simba wakiwa wamesimama karibu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alipokuwa amekwenda zake, simba alimkuta njiani, akamwua. Maiti yake ikatupwa njiani, na yule punda akasimama karibu naye; na yule simba naye akasimama karibu na maiti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipokuwa anakwenda zake, simba akakutana naye njiani, akamuua; mwili wake ukawa umetupwa hapo barabarani; punda wake na huyo simba wakawa wamesimama kando yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwenda zake, simba akamwona njiani, akamwua, nayo maiti yake ikalala njiani hivyo, ilivyoangushwa, naye punda akasimama kando yake, hata simba akasimama kando ya maiti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alipokuwa amekwenda zake, simba alimkuta njiani, akamwua. Maiti yake ikatupwa njiani, na yule punda akasimama karibu naye; na yule simba naye akasimama karibu na maiti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokuwa anakwenda zake, simba akakutana naye katika njia, akamwua. Mwili wake ukatupwa pale katika barabara. Punda wake na yule simba wakasimama pembeni yake.