1 Kings 13:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nabii yule ambaye alikuwa amemkaribisha nyumbani kwake aliposikia habari hiyo, akasema, “Huyo ni yuleyule mtu wa Mungu aliyekataa kutii neno la Mwenyezi-Mungu! Mwenyezi-Mungu amemtuma simba, akamshambulia na kumwua kama alivyokuwa amemwambia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule nabii aliyekuwa amemrudisha kutoka safari yake aliposikia habari hii akasema, “Ni yule mtu wa Mungu aliyeliasi neno la Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu amemtoa kwa simba, ambaye amemrarua na kumuua, sawasawa na neno la Mwenyezi Mungu lilivyokuwa limemwonya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule nabii aliyemrudisha njiani alipopata habari, akasema; Ndiye yule mtu wa Mungu, aliyeiasi kauli ya Bwana; kwa hiyo Bwana amempambanisha na simba, simba akamrarua, akamwua, sawasawa na neno la Bwana alilomwambia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nabii yule ambaye alikuwa amemkaribisha nyumbani kwake aliposikia habari hiyo, akasema, “Huyo ni yuleyule mtu wa Mungu aliyekataa kutii neno la Mwenyezi-Mungu! Mwenyezi-Mungu amemtuma simba, akamshambulia na kumwua kama alivyokuwa amemwambia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule nabii aliyekuwa amemrudisha kutoka katika safari yake aliposikia habari hii akasema, “Ni yule mtu wa Mungu ambaye aliasi neno la BWANA. BWANA amemtoa kwa simba, ambaye amemrarua na kumwua, sawasawa na neno la BWANA lilivyokuwa limemwonya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule nabii aliyekuwa amemrudisha kutoka safari yake aliposikia habari hii akasema, “Ni yule mtu wa Mungu ambaye aliasi neno la bwana. bwana amemtoa kwa simba, ambaye amemrarua na kumuua, sawasawa na neno la bwana lilivyokuwa limemwonya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule nabii aliyemrudisha njiani alipopata habari, akasema; Ndiye yule mtu wa Mungu, aliyeiasi kauli ya BWANA; kwa hiyo BWANA amempambanisha na simba, simba akamrarua, akamwua, sawasawa na neno la BWANA alilomwambia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nabii yule ambaye alikuwa amemkaribisha nyumbani kwake aliposikia habari hiyo, akasema, “Huyo ni yuleyule mtu wa Mungu aliyekataa kutii neno la Mwenyezi-Mungu! Mwenyezi-Mungu amemtuma simba, akamshambulia na kumwua kama alivyokuwa amemwambia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mfumbuaji aliyemrudisha njiani alipoyasikia akasema: Huyu ni yule mtu wa Mungu asiyekitii kinywa cha Bwana; kwa hiyo Bwana amemtolea simba, amwue na kumvunjavunja kwa neno la Bwana, alilomwambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule nabii aliyemrudisha njiani alipopata habari, akasema; Ndiye yule mtu wa Mungu, aliyeiasi kauli ya BWANA; kwa hiyo BWANA amempambanisha na simba, simba akamrarua, akamwua, sawasawa na neno la BWANA alilomwambia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nabii yule ambaye alikuwa amemukaribisha kwake aliposikia habari hiyo, akasema: “Huyo ni yuleyule mutu wa Mungu aliyekataa kutii neno la Yawe! Yawe amemutuma simba, akamushambulia na kumwua kama alivyokuwa amemwambia.”