1 Kings 13:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu huyo akatoa ishara siku ileile, akasema: “Hii ndiyo ishara aliyotamka Mwenyezi-Mungu: ‘Madhabahu itabomoka, na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo hiyo, mtu wa Mungu akatoa ishara: “Hii ndiyo ishara Mwenyezi Mungu aliyotangaza: Madhabahu haya yatapasuka na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoa ishara siku ile ile, akasema, Hii ndiyo ishara aliyoinena Bwana, Tazama, madhabahu itapasuka, na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu huyo akatoa ishara siku ileile, akasema: “Hii ndiyo ishara aliyotamka Mwenyezi-Mungu: ‘Madhabahu itabomoka, na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku iyo hiyo, mtu wa Mungu akatoa ishara: “Hii ndiyo ishara BWANA aliyotangaza: Madhabahu hii itapasuka na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku iyo hiyo, mtu wa Mungu akatoa ishara: “Hii ndiyo ishara bwana aliyotangaza: Madhabahu haya yatapasuka na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoa ishara siku ile ile, akasema, Hii ndiyo ishara aliyoinena BWANA, Tazama, madhabahu itapasuka, na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu huyo akatoa ishara siku ileile, akasema: “Hii ndiyo ishara aliyotamka Mwenyezi-Mungu: ‘Madhabahu itabomoka, na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyohiyo akawapa hata kielekezo akisema: Hiki ndicho kielekezo, Bwana alichokisema: Mtaona meza hii ya kutambikia ikipasuka, majivu ya mafuta yaliyoko juu yake yamwagike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoa ishara siku ile ile, akasema, Hii ndiyo ishara aliyoinena BWANA, Tazama, madhabahu itapasuka, na majivu yaliyo juu yake yatamwagika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu huyo akaonyesha kitambulisho siku ileile, akasema: “Hiki ndicho kitambulisho Yawe alichosema: ‘Mazabahu hii itabomoka, na majivu yanayokuwa juu yake yatamwangika.’ ”