1 Kings 13:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akamzika katika kaburi lake, naye pamoja na wanawe wakaomboleza kifo chake wakisema, “Aa! Ndugu yangu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akailaza ile maiti katika kaburi lake huyo nabii mzee, nao wakaomboleza juu yake na kusema, “Ee ndugu yangu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamweka maiti katika kaburi lake mwenyewe; wakamlilia, wakisema, Aa! Ndugu yangu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akamzika katika kaburi lake, naye pamoja na wanawe wakaomboleza kifo chake wakisema, “Aa! Ndugu yangu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akailaza ile maiti katika kaburi lake huyo nabii mzee, nao wakaomboleza juu yake na kusema, “Ee ndugu yangu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akailaza ile maiti katika kaburi lake huyo nabii mzee, nao wakaomboleza juu yake na kusema, “Ee ndugu yangu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamweka maiti katika kaburi lake mwenyewe; wakamlilia, wakisema, Aa! Ndugu yangu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akamzika katika kaburi lake, naye pamoja na wanawe wakaomboleza kifo chake wakisema, “Aa! Ndugu yangu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kuilaza maiti kaburini kwake, wakaiombolezea kwamba: A, ndugu yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamweka maiti katika kaburi lake mwenyewe; wakamlilia, wakisema, Aa! Ndugu yangu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akamuzika katika kaburi lake, naye pamoja na wana wake wakaomboleza kifo chake wakisema: “Aa! Ndugu yangu!”