1 Kings 13:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwani Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji, wala nisirudi kwa njia ileile niliyoifuata kuja hapa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa niliagizwa kwa neno la Mwenyezi Mungu: ‘Kamwe usile mkate wala usinywe maji au kurudi kwa njia uliyojia.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana ndivyo nilivyoagizwa kwa neno la Bwana, kusema, Usile chakula cho chote wala usinywe maji, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwani Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji, wala nisirudi kwa njia ileile niliyoifuata kuja hapa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa niliagizwa kwa neno la BWANA: ‘Kamwe usile mkate wala usinywe maji au kurudi kwa njia uliyojia.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa niliagizwa kwa neno la bwana: ‘Kamwe usile mkate wala usinywe maji au kurudi kwa njia uliyojia.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana ndivyo nilivyoagizwa kwa neno la BWANA, kusema, Usile chakula chochote wala usinywe maji, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwani Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji, wala nisirudi kwa njia ileile niliyoifuata kuja hapa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndivyo, nilivyoagizwa na neno la Bwana kwamba: Usile huko mkate, wala usinywe maji, wala usiirudie njia ile, uliyokwenda nayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana ndivyo nilivyoagizwa kwa neno la BWANA, kusema, Usile chakula cho chote wala usinywe maji, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana Yawe aliniamuru nisikule chakula au kunywa maji, wala nisirudi kwa njia ileile niliyoifuata kwa kuja hapa.”