1 Kings 14:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahiya akamwambia mkewe Yeroboamu, “Haya inuka, uende zako nyumbani. Mara tu utakapoingia mjini, mwanao atakufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini wewe, rudi nyumbani. Utakapofika mji wako, kijana atakufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ondoka, urudi nyumbani kwako; na miguu yako itakapoingia mjini huyo kijana atakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahiya akamwambia mkewe Yeroboamu, “Haya inuka, uende zako nyumbani. Mara tu utakapoingia mjini, mwanao atakufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kukuhusu wewe, rudi nyumbani. Wakati utakapotia mguu katika mji wako, kijana atakufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kukuhusu wewe, rudi nyumbani. Wakati utakapotia mguu katika mji wako, kijana atakufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ondoka, urudi nyumbani kwako; na miguu yako itakapoingia mjini huyo kijana atakufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahiya akamwambia mkewe Yeroboamu, “Haya inuka, uende zako nyumbani. Mara tu utakapoingia mjini, mwanao atakufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe inuka, uende nyumbani kwako! Hapo, miguu yako itakapoingia mjini, papo hapo mtoto atakufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ondoka, urudi nyumbani kwako; na miguu yako itakapoingia mjini huyo kijana atakufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahiya akamwambia muke wa Yeroboamu: “Simama, urudie kwako sasa. Mara tu utakapoingia katika muji, mwana wako atakufa.