1 Kings 14:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, mkewe Yeroboamu akaondoka, akashika safari mpaka Tirza. Mara tu alipofika mlangoni, mtoto akafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha, mke wa Yeroboamu akainuka, akaondoka kwenda Tirsa. Mara alipokanyaga kizingiti cha mlango, kijana akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mkewe Yeroboamu akaondoka, akaenda zake, akafika Tirza; naye alipofika kizingitini kwa nyumba, huyo kijana akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, mkewe Yeroboamu akaondoka, akashika safari mpaka Tirza. Mara tu alipofika mlangoni, mtoto akafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mke wa Yeroboamu akainuka, akaondoka kwenda Tirza. Mara alipokanyaga kizingiti cha mlango, kijana akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mke wa Yeroboamu akainuka, akaondoka kwenda Tirsa. Mara alipokanyaga kizingiti cha mlango, kijana akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mkewe Yeroboamu akaondoka, akaenda zake, akafika Tirza; naye alipofika kwenye kizingiti cha nyumba, huyo kijana akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, mkewe Yeroboamu akaondoka, akashika safari mpaka Tirza. Mara tu alipofika mlangoni, mtoto akafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mkewe Yeroboamu akaondoka, akaenda zake kufika Tirsa; alipoingia penye kizingiti cha nyumba, ndipo, yule kijana alipokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mkewe Yeroboamu akaondoka, akaenda zake, akafika Tirza; naye alipofika kizingitini kwa nyumba, huyo kijana akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, muke wa Yeroboamu akaondoka, akashika safari mpaka Tirza. Mara tu alipofika kwenye mulango, mutoto akakufa.