1 Kings 14:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote wa Israeli wakamzika na kufanya matanga kama alivyosema Mwenyezi-Mungu, kwa njia ya nabii Ahiya, mtumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamzika na Israeli yote ikamwombolezea, kama Mwenyezi Mungu alivyokuwa amesema kupitia kwa mtumishi wake, nabii Ahiya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Israeli wote wakamzika, wakamlilia; sawasawa na neno la Bwana, alilolinena kwa mkono wa mtumishi wake Ahiya nabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote wa Israeli wakamzika na kufanya matanga kama alivyosema Mwenyezi-Mungu, kwa njia ya nabii Ahiya, mtumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamzika na Israeli yote ikamwombolezea, kama BWANA alivyokuwa amesema kupitia mtumishi wake, nabii Ahiya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamzika na Israeli yote ikamwombolezea, kama bwana alivyokuwa amesema kupitia mtumishi wake, nabii Ahiya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Israeli wote wakamzika, wakamlilia; sawasawa na neno la BWANA, alilolinena kwa mkono wa mtumishi wake Ahiya nabii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote wa Israeli wakamzika na kufanya matanga kama alivyosema Mwenyezi-Mungu, kwa njia ya nabii Ahiya, mtumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamzika, nao Waisiraeli wote wakamwombolezea, kama Bwana alivyosema kinywani mwa mtumishi wake mfumbuaji Ahia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Israeli wote wakamzika, wakamlilia; sawasawa na neno la BWANA, alilolinena kwa mkono wa mtumishi wake Ahiya nabii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote wa Israeli wakamuzika na kufanya kilio kama vile Yawe alivyosema, kwa njia ya nabii Ahiya, mutumishi wake.