1 Kings 14:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Yuda walitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu. Walimkasirisha kwa dhambi zao walizotenda, nyingi kuliko za babu zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda wakatenda maovu machoni pa Mwenyezi Mungu. Kwa dhambi walizotenda wakachochea hasira yake yenye wivu kuliko baba zao walivyofanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yuda wakafanya maovu machoni pa Bwana; wakamtia wivu, kwa makosa yao waliyoyakosa, kuliko yote waliyoyafanya baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Yuda walitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu. Walimkasirisha kwa dhambi zao walizotenda, nyingi kuliko za babu zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda wakatenda maovu machoni pa BWANA. Kwa dhambi walizotenda wakachochea hasira yake yenye wivu zaidi kuliko baba zao walivyofanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda wakatenda maovu machoni pa bwana. Kwa dhambi walizotenda wakachochea hasira yake yenye wivu zaidi kuliko baba zao walivyofanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yuda wakafanya maovu machoni pa BWANA; wakamtia wivu, kwa makosa yao waliyoyakosa, kuliko yote waliyoyafanya baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Yuda walitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu. Walimkasirisha kwa dhambi zao walizotenda, nyingi kuliko za babu zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda wakayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, wakamchokoza kwa makosa yao, waliyoyakosa, maana yalikuwa mabaya kuliko yote, baba zao waliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yuda wakafanya maovu machoni pa BWANA; wakamtia wivu, kwa makosa yao waliyoyakosa, kuliko yote waliyoyafanya baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Yuda walitenda maovu mbele ya Yawe. Walimukasirikisha kwa zambi zao walizotenda, nyingi kuliko za babu zao.