1 Kings 14:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walijitengenezea pia mahali pa ibada, minara ya kutambikia, na sanamu za Ashera, juu ya kila kilima kirefu na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia wakajijengea mahali pa juu pa kuabudia, mawe ya kuabudiwa, na nguzo za Ashera juu ya kila kilima kilichoinuka na kila mti uliotanda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hao pia wakajijengea mahali pa juu, na nguzo, na maashera, juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walijitengenezea pia mahali pa ibada, minara ya kutambikia, na sanamu za Ashera, juu ya kila kilima kirefu na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia wakajijengea mahali pa juu pa kuabudia miungu, mawe ya kuabudiwa na nguzo za Ashera juu ya kila kilima kilichoinuka na kila mti uliotanda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia wakajijengea mahali pa juu pa kuabudia miungu, mawe ya kuabudiwa na nguzo za Ashera juu ya kila kilima kilichoinuka na kila mti uliotanda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hao pia wakajijengea mahali pa juu, na nguzo, na maashera, juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walijitengenezea pia mahali pa ibada, minara ya kutambikia, na sanamu za Ashera, juu ya kila kilima kirefu na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakajijengea vijumba vya kutambikia vilimani, wakajitengenezea nguzo za kutambikia na miti ya Ashera juu ya kila kilima kirefu na chini ya kila mti wenye majani mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hao pia wakajijengea mahali pa juu, na nguzo, na maashera, juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walijitengenezea vilevile pahali pa ibada, minara ya kutambikia, na sanamu za Ashera, juu ya kila kilima kirefu na chini ya kila muti wenye majani mengi.