1 Kings 14:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mwaka wa tano wa utawala wa Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri, aliushambulia mji wa Yerusalemu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, mwaka wa tano wa mfalme Rehoboamu, akapanda Shishaki, mfalme wa Misri, juu ya Yerusalemu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mwaka wa tano wa utawala wa Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri, aliushambulia mji wa Yerusalemu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa tano wa kutawala kwake Mfalme Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, mwaka wa tano wa mfalme Rehoboamu, akapanda Shishaki, mfalme wa Misri, juu ya Yerusalemu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mwaka wa tano wa utawala wa Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri, aliushambulia mji wa Yerusalemu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa tano wa mfalme Rehabeamu ndipo, Sisaki, mfalme wa Misri, alipopanda kuujia Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, mwaka wa tano wa mfalme Rehoboamu, akapanda Shishaki, mfalme wa Misri, juu ya Yerusalemu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka wa tano wa utawala wa Rehoboamu, Sisaki mufalme wa Misri aliushambulia Yerusalema.