1 Kings 14:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila wakati mfalme alipokwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, walinzi walizibeba ngao hizo, na baadaye wakazirudisha katika chumba cha ulinzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila wakati mfalme alipoenda katika Hekalu la Mwenyezi Mungu, walinzi walizichukua hizo ngao, na baadaye walizirudisha kwenye chumba cha ulinzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa kila wakati mfalme alipoingia nyumbani mwa Bwana, hao walinzi walizichukua; wakazirudisha tena katika chumba cha walinzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila wakati mfalme alipokwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, walinzi walizibeba ngao hizo, na baadaye wakazirudisha katika chumba cha ulinzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila wakati mfalme alipokwenda katika Hekalu la BWANA, walinzi walizichukua zile ngao, hatimaye walizirudisha kwenye chumba cha ulinzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila wakati mfalme alipokwenda katika Hekalu la bwana, walinzi walizichukua hizo ngao, na baadaye walizirudisha kwenye chumba cha ulinzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa kila wakati mfalme alipoingia nyumbani mwa BWANA, hao walinzi walizichukua; wakazirudisha tena katika chumba cha walinzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila wakati mfalme alipokwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, walinzi walizibeba ngao hizo, na baadaye wakazirudisha katika chumba cha ulinzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mara, mfalme alipoingia Nyumbani mwa Bwana, wapiga mbio wakazichukua, kisha wakazirudisha chumbani mwao wapiga mbio.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa kila wakati mfalme alipoingia nyumbani mwa BWANA, hao walinzi walizichukua; wakazirudisha tena katika chumba cha walinzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila wakati mufalme alipokwenda katika nyumba ya Yawe, walinzi walizibeba ngao hizo, na nyuma walizirudisha katika chumba cha ulinzi.