1 Kings 14:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nenda ukamwambie Yeroboamu kwamba Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: ‘Nilikuteua miongoni mwa watu, nikakufanya kuwa kiongozi wa watu wangu, Israeli;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nenda, ukamwambie Yeroboamu kwamba hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli: ‘Nilikuinua miongoni mwa watu na kukufanya mtawala wa watu wangu Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nenda, umwambie Yeroboamu, Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kwa kuwa nilikutukuza miongoni mwa watu, nikakufanya uwe mkuu juu ya watu wangu Israeli,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nenda ukamwambie Yeroboamu kwamba Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: ‘Nilikuteua miongoni mwa watu, nikakufanya kuwa kiongozi wa watu wangu, Israeli;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nenda, ukamwambie Yeroboamu kwamba hivi ndivyo asemavyo BWANA, Mungu wa Israeli: ‘Nilikuinua miongoni mwa watu na kukufanya kiongozi juu ya watu wangu Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nenda, ukamwambie Yeroboamu kwamba hivi ndivyo asemavyo bwana, Mungu wa Israeli: ‘Nilikuinua miongoni mwa watu na kukufanya kiongozi juu ya watu wangu Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda, umwambie Yeroboamu, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kwa kuwa nilikutukuza miongoni mwa watu, nikakufanya uwe mkuu juu ya watu wangu Israeli,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nenda ukamwambie Yeroboamu kwamba Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: ‘Nilikuteua miongoni mwa watu, nikakufanya kuwa kiongozi wa watu wangu, Israeli;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda, umwambie Yeroboamu: Hivi ndivyo, Bwana Mungu wa Isiraeli anavyosema: Nimekutoa katikati ya watu, nikakukweza, nikakupa kuwatawala walio ukoo wangu wa Waisiraeli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nenda, umwambie Yeroboamu, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kwa kuwa nilikutukuza miongoni mwa watu, nikakufanya uwe mkuu juu ya watu wangu Israeli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenda umwambie Yeroboamu kwamba Yawe, Mungu wa Israeli, anasema hivi: ‘Nilikuchagua kati ya watu, nikakufanya kiongozi wa watu wangu Waisraeli,