1 Kings 15:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abiya alianza kutawala huko Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu, mwanawe Nebati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu mwana wa Nebati, Abiya akawa mfalme wa Yuda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwaka wa kumi na nane wa mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati, Abiya alianza kutawala juu ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abiya alianza kutawala huko Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu, mwanawe Nebati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu mwana wa Nebati, Abiya akawa mfalme wa Yuda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu mwana wa Nebati, Abiya akawa mfalme wa Yuda,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwaka wa kumi na nane wa mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati, Abiya alianza kutawala juu ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abiya alianza kutawala huko Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu, mwanawe Nebati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa 18 wa mfalme Yeroboamu, mwana wa Nebati, Abiamu akapata kuwa mfalme wa Wayuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwaka wa kumi na nane wa mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati, Abiya alianza kutawala juu ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abiyamu alianza kutawala kule Yuda katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mufalme Yeroboamu mwana wa Nebati.